Ndoa (sakramenti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Ndoa''' kati ya wabatizwa wawili inahesabiwa na Kanisa Katoliki kama mojawapo kati ya sakramenti saba zilizowekwa na Yesu Kristo. Pamoja na Daraja takatifu ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 22:37, 23 Desemba 2008

Ndoa kati ya wabatizwa wawili inahesabiwa na Kanisa Katoliki kama mojawapo kati ya sakramenti saba zilizowekwa na Yesu Kristo.

Pamoja na Daraja takatifu ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia ushirika.

Waprotestanti wanaadhimisha ndoa kwa ibada ambayo haihesabiwi kuwa sakramenti.