Ndoa (sakramenti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Weyden Matrimony.jpg|thumb|300px|right|''"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe."'' ([[Injili ya Mathayo]] 19:6) Sehemu ya mchoro ''Sakramenti Saba'' wa [[Rogier van der Weyden]], ca. 1445, inayoonyesha sakramenti ya ndoa.]]
 
'''Ndoa''' kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili inahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama mojawapo kati ya [[sakramenti]] saba zilizowekwa na [[Yesu Kristo]].
 
Ni muungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, unaofanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya ndoa.
 
Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa [[Misa]], karamu ya arusi ya [[Mwanakondoo]] na [[Kanisa]].
 
Pamoja na [[Daraja takatifu]] ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia [[ushirika]].
 
[[Waprotestanti]] wanaadhimisha ndoa kwa ibada ambayo haihesabiwi kuwa sakramenti.
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.vatican.va/holy_father/leo_xiii/encyclicals/documents/hf_l-xiii_enc_10021880_arcanum_en.html ''Arcanum''] Barua ya [[Papa Leo XIII]] kuhusu Ndoa ya Kikristo
* {{CathEncy|wstitle=Sacrament of Marriage}}
 
[[Category:Liturujia]]
[[Category:Sakramenti]]
 
[[de:Kirchliche Trauung]]
[[en:Catholic marriage]]
[[es:Matrimonio (sacramento)]]
[[fr:Mariage catholique]]
[[hr:Sakramenat ženidbe]]
[[it:Matrimonio (sacramento)]]
[[pl:Małżeństwo (sakrament)]]
[[pt:Casamento religioso]]