Tofauti kati ya marekesbisho "Ndoa (sakramenti)"

165 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
[[Image:Bologna marriage.jpg|right|300px]]
[[Image:Weyden Matrimony.jpg|thumb|300px|right|''"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe."'' ([[Injili ya Mathayo]] 19:6) Sehemu ya mchoro ''Sakramenti Saba'' wa [[Rogier van der Weyden]], ca. 1445, inayoonyesha sakramenti ya ndoa.]]
 
'''Ndoa''' kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili inahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama mojawapo kati ya [[sakramenti]] saba zilizowekwa na [[Yesu Kristo]].
 
Ni muungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, unaofanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya ndoa.
 
''"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe."'' ([[Injili ya Mathayo]] 19:6).
Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa [[Misa]], karamu ya arusi ya [[Mwanakondoo]] na [[Kanisa]].
 
Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa [[Misa]], karamu ya arusi ya [[Mwanakondoo]] na [[Kanisa]], lakini wanakubali katika mazingira ya pekee iweze kufungwa na wanaarusi mbele ya mashahidi wawili hata bila ya kuwepo [[kasisi|padri]] .
 
Kumbe Waorthodoksi wanahesabu [[baraka]] ya padri kuwa sehemu ya lazima ya sakramenti, ambayo wanaarusi wanapewa.
 
Pamoja na [[Daraja takatifu]] ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia [[ushirika]].
 
==Kubariki ndoa kwa Waprotestanti==
[[Waprotestanti]] hawakubali ndoa kuwa sakramentsakramenti; [[Martin Luther]] aliona sakramenti sharti niiwe alama iliyowekwa na Yesu Kristo mwenyewe, lakini ndoa ni sehemu ya utaratibu wa [[uumbaji]] uliotangulia kuja kwa Kristo.
 
Kwa hiyo Waprotestanti wanabariki ndoa iliyofungwa kufuatana na sheria za dola.
 
==Viungo vya nje==