Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 27:
|-
|style="font-size: 1.0em;" bgcolor="#F7F5D3" |
<h3 style="font-size:150%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Makala maalum:''' <br><center>'''[[
[[
'''Krismasi''' (au '''Noeli''') ni [[sikukuu]] ya kuzaliwa kwake [[Yesu Kristo]] kama miaka 2000 iliyopita. Husheherekewa tar. [[25 Desemba]].
==Historia ya Krismasi==
Tarehe halisi ya kuzaliwa kwake Yesu haijulikani kwa sababu utamaduni wa [[Wayahudi]] wa wakati ule haukujua sherehe au kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa. Lakini baadaye Ukristo ulienea katika [[Dola la Roma]] na kati ya mataifa yaliyokuwa na kawaida ya kuangalia siku ya kuzaliwa. Hivyo hamu ilijitokeza kusheherekea pia sikukuu ya kuzaliwa kwake Kristo. Hapo ndipo asili ya Sikukuu ya Krismasi. Tangu mwanzo wa karne ya tatu BK kuna kumbukumbu ya waandishi mbalimbali waliojadili tarehe ya kuzaliwa kwake Yesu.
*[[Mchezo wa ng'ombe|Soma zaidi kuhusu '''Mchezo wa ng'ombe'''...]]▼
<h3 style="font-size:100%"><em style="color:orange;font-style:normal">•</em>'''Ujenzi'''</h3>
|