Tupac Shakur : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {{Msanii muziki 2 |Jina = Tupac Shakur |Background = solo_singer |Img = 2Pac2.jpg |Img capt = Tupac akiwa katika pozi |Jina la kuzaliwa = |Pia anajulikana kama = 2Pac, Makaveli |Asili yak...
 
a
Mstari 16:
||Tovuti = [http://www.2paclegacy.com 2paclegacy.com]
}}
'''Tupac Amaru Shakur''' ([[16 Juni]] [[1971]] - [[13 Septemba]], [[1996]]) alikuwa [[mwigizaji]], mwanaharakati wa haki za binadamu, na pipia [[mwanamuziki]] maarufu wa muziki wa [[hip hop]] kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama '''2Pac'''. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki dunia.
 
Huyu alikuwa mtoto wa [[Afeni Shakur]], ambaye alikuwa mwanachama wa chama cha [[Black Panther Party]]. Mama yake Tupac alitolewa jela mwezi mmoja kabla ya kumzaa Tupac. Tupac alikufa mnamo tar. [[13 Septemba]] katika mwaka wa [[1996]] baada ya kupigwa risasi akiwa anaendesha gari mjini [[Las Vegas, Nevada|Las Vegas]], [[Nevada]], siku saba kabla kifo chake.