Elizabeth Ann Seton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: nl:Elizabeth Ann Seton
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Saint Elizabeth Ann Seton (1774 - 1821).gif|thumb|Elizabeth Ann Seton]]
'''Elizabeth Ann Seton''' ([[28 Agosti]], [[1774]] – [[4 Januari]], [[1821]]) alikuwa mwanzishi wa jumuiya ya '''Masista wa Huruma''' (kwa Kiingereza ''Sisters of Charity''), jumuiya ya kikatoliki ya kwanza huko [[Marekani]]. Hasa alifundisha na kuwasaidia watoto maskini wengi. Mwaka wa 1975 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 4 Januari.