Elizabeth Ann Seton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Saint Elizabeth Ann Seton (1774 - 1821).gif|thumb|Elizabeth Ann Seton]]
'''Elizabeth Ann Bayley Seton''' ([[28 Agosti]], [[1774]] – [[4 Januari]], [[1821]]) alikuwa mwanzishimwanzilishi wa jumuiyashirika yala '''Masista wa Huruma wa Mt. Yosefu''' (kwa Kiingereza ''Sisters of Charity of St. Joseph''), jumuiyaambalo yalilikuwa kikatoliki[[utawa]] yawa kwanza kuundwa huko [[Marekani]]. Hasa alifundisha na kuwasaidia watoto maskini wengi. Mwaka wa 1975 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 4 Januari.
 
 
==Maisha yake==
 
Elizabeth Ann Bayley alizaliwa New York katika familia ya ushirika wa [[Anglikana]]: tarehe [[25 Januari]] [[1794]], akiwa na umri wa miaka 19, aliolewa na mfanyabiashsara tajiri William Seton, akamzalia watoto watano.
 
Alipobaki mjane tarehe [[27 Desemba]] [[1802]]) alifunga safari ya kiroho iliyomfanya aongokee [[Kanisa Katoliki]] tarehe [[25 Machi]] [[1805]].
 
Akahamia [[Baltimore]], chini ya [[askofu]] [[John Carroll]], akaanza utume wake kwa wanawake wajane wenye watoto wadogo na kuanzisha shule nyingi.
 
Tarehe [[1 Juni]] [[1809]] alianzisha shirika la kitawa lenye kufuata roho ya [[Vinsenti wa Paulo]] akahamia Emmitsburg, kwenye[[Maryland]]: mwaka [[1812]] alipokea [[katiba]] ya [[Mabinti wa Upendo wa Mt. Vinsenti wa Paulo]], iliyorekebishwa na kuidhinishwa na askofu Carrol. Kundi ls kwanza la masista (mama Seton na wenzake 16) waliweka [[nadhiri]] zao za daima tarehe [[19 Julai]] [[1813]].
 
Alifariki mwaka [[1821]].
 
==Heshima aliyopewa==
Mchakato wa kumtangaza [[mwenyeheri]] ulianza mwaka [[1907]] na kumalizika [[Papa Yohane XXIII]] alipomtangaza tarehe [[17 Machi]] [[1963]]. Tarehe [[14 Septemba]] [[1975]] [[Papa Paulo VI]] alimtangaza kuwa [[mtakatifu]]. Sikukuu yake ni 4 Januari.
 
 
==Viungo vya nje==
*{{en}} [http://www.newadvent.org/cathen/13739a.htm katika ''Catholic Encyclopedia'']
 
{{DEFAULTSORT:Seton, Elizabeth Ann}}
[[Category:Waliozaliwa 1774]]
Line 7 ⟶ 27:
[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Category:Watu wa Marekani]]
[[Category:Watawa waanzilishi]]
 
{{mbegu}}
 
[[de:Elisabeth Anna Bayley Seton]]