Baraza la Kiswahili la Taifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''BAKITA''' ni kifupi chake cha '''Baraza la Kiswahili la Taifa''' nchini [[Tanzania]]. BAKITA ni chombo cha serikali chini ya wizara ya Habari Utamaduni na Michezo.
Baraza liliundwa na sheria ya bunge Na. 27 ya mwaka 1967 kwa shabaha ya kukuza,kuimarisha na kuendeleza [[Kiswahili]] hasa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika marekebisho ya sheria hiyo yaliyofanyika mwaka 1983 kwa Sheria ya Bunge Na. 7, BAKITA limepewa uwezo wa kufuatilia na kusaidia ukuzaji wa Kiswahili katika nchi za nje pia.