Nathari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bg:Проза
No edit summary
Mstari 1:
'''Nathari''' ni tawi moja la [[fasihi andishi]]. KinyumeTofauti chakena ni[[tenzi]] au [[ushairi]] unaoleta ujumbe wake kwa umbo ya mabeti nathari haina umbo maalumu au viwango vya muundo au taratibu. Hivyo inaweza kufanana na mazungumzo ya kila siku.
 
Nathari inafaa kwa habari na masimulizi. Inatumiwa kwenye magazeti, vitabu, jarida au kamusi.
 
 
==Marejeo==
Wamitila, K.W. 2003. ''Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia'', Nairobi: Focus Books.
 
{{mbegu}}
{{mbegu}}natahari ni tanzu ya fasihi andishi isiyokuwa na viwango vya muundo au taratibu
 
--ricky 02:36, 10 Februari 2008 (UTC)
[[Category:Fasihi]]