Adolf Hitler : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: stq:Adolf Hitler
HBR (majadiliano | michango)
new picture
Mstari 1:
[[image:Bundesarchiv Bild 183-S33882, Adolf Hitler.jpg|thumb|Hitler, 1937]]
[[Image:Bundesarchiv_Bild_183-1989-0322-506,_Adolf_Hitler,_Kinderbild.jpg|thumb|200px|right|Adolf Hitler kama mtoto mchanga.]]
'''Adolf Hitler''' (* [[20 Aprili]] [[1889]] Braunau /[[Austria]]; † [[30 Aprili]] [[1945]] [[Berlin]] kwa kujiua) alikuwa [[chansella]] (waziri mkuu) na kiongozi wa [[Ujerumani]] kuanzia 1933, tangu 1934 pia Mkuu wa [[Dola la Ujerumani]] akiwa na madaraka ya ki[[dikteta]].
===Muhtasari===
[[Image:Bundesarchiv_Bild_183-1989-0322-506,_Adolf_Hitler,_Kinderbild.jpg|thumb|200px|right|Adolf Hitler kama mtoto mchanga.]]
Tangu [[1921]] aliwahi kutokea kama kiongozi wa chama cha [[NSDAP]] (Nationalsozialistische Deutsche Arbeiterpartei - Chama cha Kizalendo - Kisoshialisti cha Wafanyakazi Wajerumani) inayojulikana pia kama [[Chama cha Nazi]] (tamka: natsi) chenye itikadi ya siasa kali na [[ubaguzi wa kimbari]], [[swastika]] ikiwa ndiyo alama yao.