Frank B. Kellogg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza viungo vya lugha nyingine
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Frank Billings Kellogg''' ([[22 Desemba]], [[1856]] – [[21 Desemba]], [[1937]]) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya [[Marekani]]. Kutoka 1925 hadi 1929 alikuwa [[Waziri wa Mambo ya Nje]]. Hasa alijitahidi kutekeleza amani ya kimataifa. Mwaka wa [[1929]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
[[Category:Wanasiasa]]