Enzi ya kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
LA2 (majadiliano | michango)
duplicate
Mstari 1:
[[Image:St michaelis.jpg|thumb|300px|Kanisa la Mt. Michael mjini [[Hildesheim]] ([[Ujerumani]]) ni mfano bora wa usanifu wa enzi ya kati]]
'''Enzi ya Kati''' (pia: '''[[Zama za Kati''']]) ilikuwa kipindi cha historia ya [[Ulaya]] kati ya mwisho wa [[Dola la Roma]] mnamo mwaka [[500]] na [[matengenezo makuu ya kanisa]] mnamo mwaka 1500.
Historia ya Ulaya hugawanywa mara nyingi katika vipindi vitatu vya [[Enzi ya Kale]], [[Enzi ya Kati]] na [[Enzi ya Kisasa]]. Hata kama ugawaji huu umetokana na mazingira ya Ulaya tu hutumiwa pia kwa maeneo mengine ya dunia. Wataalamu wengi huamini ya kwamba haufai sana kidunia lakini hadi sasa hakuna mpangilio mwingine kwa dunia yote unaoeleweka kirahisi hivi.