Ludwig Quidde : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza viungo vya lugha nyingine
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Ludwig Quidde''' ([[23 Machi]], [[1858]] – [[5 Machi]], [[1941]]) alikuwa mwanahistoria na mwanasiasa kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Alijitahidi kutekeleza amani ya kimataifa, hasa wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Mwaka wa [[1927]], pamoja na [[Ferdinand-Edouard Buisson]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''.
 
[[Category:Wanasiasa]]