Zakaria Kibona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho kadhaa!
Mstari 21:
| ntupdate = [[14 Machi]], [[2008]]
}}
''' Zakaria Kibona''' (Amezaliwaamezaliwa 14tar. [[machi14 Machi]], [[1990]] mjini [[Dar es salaam]])Nimchezaji ni mchezaji wa [[mpira wa miguu]] kutoka nchini [[Tanzania]], ambaye kwa sasa anaechezeaanaichezea klabu ya [[Atlantis FC]] inayoshiriki katika ligi ya pili ya [[Ufini]] katika mji mkuu wa [[Helsinki]] nchini [[Ufini]].
 
===kuanza kwake mpira Ufini===
 
===kuanzaKuanza kwake mpira Ufini===
Zakaria ni mshambuliaji matata wa katika kati ambae alijiunga na Atlantis FC ya vijana mwaka 2002 na alicheza na klabu hiyo hadi mwaka 2007 baada ya kocha wa klabu ya Atlantis FC ya watu wakubwa kuomba apandishwe katika timu ya wakubwa na baadae alionekana kua ni mchezaji mzuri ambae kwa sasa anacheza mechi nyingi nakua kiungo muhimu wa timu hiyo.
 
===Timu ya taifa ya Tanzania===
Bwana Zakaria Kibona aliichezea [[timu ya taifa ya Tanzania]] ya vijana wa umri mdogo ya myaka 15 na myaka 17 kabla ya mwaka 2006 kuitwa kuichezea timu ya taifa ya [[Tanzania]] ya watu wakubwa na kwa sasa anamechi 15 na timu ya taifa hiyo ya Tanzania.
 
===Uraia wake===
Zakariba Kibona anauraia wa nchi ya [[Tanzania]] na [[Ufini]] na alipata uraia wa [[Ufini]] kwani mchezaji huyo alienda [[Ulaya]] akiwa na umri mdogo nakukaa huko muda mrefu, na sio yeye tu ambae alichukua uraia katika wachezaji mpira kuna wachezaji mashuhuri ambao walichukua uraia kutokana na maslahi yao fulani kama kulipa ushuru au mengine na baadhi yao ni kama vile [[Ronaldinho]],[[Samuel Eto'o]] na wengine pia.
 
===Zawadi===
Kuchukua ubingwa pindi alipokua akichezea Atlantis FC ya vijana mwaka 2006 katika mashindano ya vijana.
 
===Viongo vya nje=Nje==
* [http://www.atlantisfc.fi/fudis/akatemia/14d.htm Kuhusu mchezaji katika klabu yake na baadhi ya picha zake]
* [http://www.playerhistory.com/Default.aspx?page=player_details&playerID=129429 Mchezaji huyu katika tovuti ya Playerhistory]
Line 42 ⟶ 40:
 
{{DEFAULTSORT:Kibona, Zakaria}}
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1990]]
[[CategoryJamii:Wachezaji Mpira wa Tanzania]]
[[CategoryJamii:Watu Walio Hai]]
[[CategoryJamii:Wachezaji Mpira wa Afrika ya Mashariki]]