Randal Cremer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Randal Cremer''' ([[18 Machi]], [[1838]] – [[22 Julai]], [[1908]]) alikuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi kutoka nchi ya [[Uingereza]]. Anajulikana pia kwa maandishi yake yaliyojaribu kuzuia vita. Mwaka wa [[1903]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] kwa Amani'''. Mwaka wa 1907 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.
 
[[Category:Chama cha Wafanyakazi]]