Tofauti kati ya marekesbisho "James Kirkwood"

26 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
d
no edit summary
 
d
'''James Kirkwood''' ([[22 Agosti]], [[1924]] – [[21 Aprili]], [[1989]]) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya [[Marekani]]. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na [[Nicholas Dante]], igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza ''A Chorus Line'' lililotolewa 1975. Mwaka wa [[1976]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya igizo hilo.
 
[[Category:Waandishi|K]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer|K]]
 
{{mbegu}}
62,394

edits