Chuma cha pua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: zh-min-nan:Kǹg-thih
No edit summary
Mstari 3:
 
 
'''Chuma cha pua''' (pia: '''chumapua''', '''feleji''') ni [[aloi]] wa [[chuma]] pamoja na gredi mbalimbali za [[kaboni]] ambayo imekuwa uti wa mgongo wa [[mapinduzi ya viwandani]]. Hadi leo ni msingi wa machinemashine na vifaa vingi pia silaha zinazounda uwezo wa kijeshi wa mataifa. Pia ujenzi wa kisasa hauwezekani bila chuma cha pua.
 
Chuma cha pua ni ngumu kushinda chuma tupu isiyo na kaboni. Siku hizi kuna pia aloy za chumapua ambamo dutu tofauti na kaboni hutumiwa.