Hai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wilaya ya Hai''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Kilimanjaro]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mbulu ilihesabiwa kuwa 259,958 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/hai.htm]. Katika wilaya hiyo [[Wachaga]] wengi wanaishi ambao huzungumza [[lahaja]] tofauti, kama Wamachame na Wamasama.
 
==Utawala==
{{mbegu}}
Katika wilaya kuna kata zifuatazo:
 
*[[Hai Mjini]]
*[[Machame Kaskazini]]
*[[Machame Kusini]]
*[[Machame Magharibi]]
*[[Machame Uroki]]
*[[Masama Kusini]]
*[[Masama Magharibi]]
*[[Masama Mashariki]]
*[[Masama Rundugai]]
*[[Siha Kaskazini]]
*[[Siha Kati]]
*[[Siha Magharibi]]
*[[Siha Mashariki]]
*[[Machame Mashariki]]
 
 
 
{{tanzania-geo-stub}}
 
[[Category:Wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro|H]]