William Saroyan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 1:
'''William Saroyan''' ([[31 Agosti]], [[1908]] – [[18 Mei]], [[1981]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Aliandika hasa mikusanyiko ya hadithi, [[tamthiliya]] na [[riwaya]]. Mwaka wa [[1940]] aliteuliwa kuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya tamthiliya yake “Wakati wa Maisha Yako” (kwa Kiingereza: ''The Time of Your Life''). Lakini alikataa kupokea tuzo hiyo.
 
[[Category:Waandishi|S]]
[[Category:Tuzo ya Pulitzer|S]]
 
{{mbegu}}