Kipaimara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{Sakramenti}}
'''Kipaimara''' ni ibada ya [[madhehebu]] mbalimbali ya Kikristo inayolenga kumthibitisha mwamini katika kumfuata [[Yesu]]. ▼
▲'''Kipaimara''' ni ibada ya [[madhehebu]] mbalimbali ya Kikristo inayolenga kumthibitisha mwamini katika kumfuata [[Yesu]].
[[Image:Confirmation VanderWeyden.png|thumb|250px|[[Askofu]] akitoa Kipaimara. Mchoro wa [[Rogier van der Weyden]], ''Sakramenti saba'', karne ya 15.]]▼
==Katika mpangilio wa sakramenti saba==
Kwa [[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]] na wengineo Kipaimara ni [[sakramenti]] ya pili katika safari ya kuingizwa katika Ukristo ambayo inaanza kwa [[Ubatizo]] na kukamilishwa na [[Ekaristi]].▼
Kwa kawaida sakramenti hizo tatu zilikuwa zikitolewa pamoja, lakini baadaye [[Kanisa la Magharibi]] lilizidi kuzitenganisha, hasa kwa lengo la kumuachia [[askofu]] tu adhimisho la kipaimara.▼
▲Kwa [[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]] na wengineo ni [[sakramenti]] ya pili katika safari ya kuingizwa katika Ukristo ambayo inaanza kwa [[Ubatizo]] na kukamilishwa na [[Ekaristi]].
▲[[Image:Confirmation VanderWeyden.png|thumb|250px|[[Askofu]] akitoa Kipaimara. Mchoro wa [[Rogier van der Weyden]], ''Sakramenti saba'', karne ya 15.]]
▲Kwa kawaida sakramenti hizo tatu zilikuwa zikitolewa pamoja, lakini baadaye Kanisa la Magharibi lilizidi kuzitenganisha, hasa kwa lengo la kumuachia [[askofu]] adhimisho la kipaimara.
==Ishara==
Kwa kuwa hii ni hasa sakramenti ya Roho Mtakatifu, ishara yake ni tendo la kuwekea mkono kichwani (Kwa Wakatoliki na Waorthodoksi ni lazima pia kupaka paji la uso kwa mafuta
==Katika [[Biblia]]==
Katika [[Agano Jipya]], Mdo 8:14-17 na 19:1-7 ni ushahidi wa Mitume kuwawekea mikono watu waliobatizwa ili wampokee Roho Mtakatifu.
Madondoo mengine
[[Category:Liturujia]]
[[Category:Sakramenti]]
|