Ekaristi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Sakramenti}}
[[Image:01preparation4.jpg|thumb|200 px|right|Vipaji vya [[mkate]] na [[divai]] vilivyoandaliwa kwa [[adhimisho]] la ekaristi.]]
Kwa [[Ukristo|Wakristo]] '''Ekaristi''' ni [[sakramenti]] iliyowekwa na [[Yesu Kristo]] wakati wa [[karamu ya mwisho]] usiku wa kuamkia [[Ijumaa Kuu]], siku ya mateso na kifo chake.
 
==Jina==
[[Image:01preparation4.jpg|thumb|200 px|right|Vipaji vya [[mkate]] na [[divai]] vilivyoandaliwa kwa [[adhimisho]] la ekaristi.]]
 
Jina linatokana na neno la lugha ya [[Kigiriki]] εὐχαρίστω (''eukharisto'': nashukuru) lililotumiwa na [[Mtume Paulo]] na [[Wainjili]] katika kusimulia karamu hiyo ya mwisho ya [[Yesu]] na [[Mitume wa Yesu|Mitume]] wake, na muujiza uliotangulia ambao Yesu alidokeza nia yake ya kushibisha [[binadamu]] wote, yaani ule wa kuzidisha mkate na samaki kwa ajili ya umati.
Line 8 ⟶ 9:
Jina linaonyesha mazingira ya sala ya matukio hayo, ambapo Yesu alimuelekea [[Mungu]] akimshukuru kwa vyakula na kinywaji alivyoshika mikononi kabla hajawagawia wanafunzi.
 
==Ushuhuda wa [[Biblia]]==
 
[[Agano Jipya]] linasimulia mara nne matendo na maneno ya Yesu ambayo alianzisha ibada hiyo na kuwakabidhi Mitume wake.
Line 41 ⟶ 42:
[[Madhehebu]] mengi ya Kikristo yamekubali hati ya ki[[ekumeni]] ya [[Lima]] ([[1982]]) inayosema "Ekaristi ni ukumbusho wa Yesu msulubiwa na mfufuka, yaani ishara hai na ya nguvu ya sadaka yake, ambayo ilitolewa mara moja tu msalabani na inaendelea kutenda kwa faida ya binadamu wote".
 
 
[[Category:Ukristo]]
[[Category:Liturujia]]
[[Category:Sakramenti]]