Ndoa (sakramenti) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
{{Sakramenti}}
[[Picha:Bologna marriage.jpg|thumb|rightleft|300px200px]]
 
'''Ndoa''' kati ya [[Ubatizo|wabatizwa]] wawili inahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama mojawapo kati ya [[sakramenti]] saba zilizowekwa na [[Yesu Kristo]].
 
Pamoja na [[Daraja takatifu]] ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia [[ushirika]].
Ni muungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, unaofanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya ndoa.
 
==Fumbo la ndoa==
''"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe."'' ([[Injili ya Mathayo]] 19:6).
Ni muunganoMuungano usiovunjika mpaka kufa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja waliobatizwa, unaofanyikaambao unafanyika kwa makubaliano yao ya hiari ambayo yanathibitishwa na Mungu anayewatia neema zinazohitajika waweze kutimiza malengo ya ndoa, ni ishara ya muungano wa kiarusi wa [[Yesu]] na [[Kanisa]].
 
''"Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe."'' ([[Injili ya Mathayo]] 19:6).
 
==Adhimisho la sakramenti ya ndoa==
Kwa kawaida Wakatoliki wanaiadhimisha wakati wa [[Misa]], karamu ya arusi ya [[Mwanakondoo]] na [[Kanisa]], lakini wanakubali katika mazingira ya pekee iweze kufungwa na wanaarusi mbele ya mashahidi wawili hata bila ya kuwepo [[kasisi|padri]] .
 
Kumbe Waorthodoksi wanahesabu [[baraka]] ya padri kuwa sehemu ya lazima ya sakramenti, ambayo wanaarusi wanapewa.
 
Pamoja na [[Daraja takatifu]] ni kati ya sakramenti mbili za kuhudumia [[ushirika]].
 
==Kubariki ndoa kwa Waprotestanti==
[[Waprotestanti]] hawakubali ndoa kuwa sakramenti; [[Martin Luther]] aliona sakramenti sharti iwe alama iliyowekwa na Yesu Kristo mwenyewe, lakini [[ndoa]] ni sehemu ya utaratibu wa [[uumbaji]] uliotangulia kuja kwa Kristo[[Yesu]].
 
Kwa hiyosababu hiyohiyo [[Waprotestanti]] wengi hawakubali ndoa kuwa sakramenti na wanabariki tu ndoa iliyofungwa kufuatana na [[sheria]] za [[dola]].
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.vatican.va/holy_father/leo_xiii/encyclicals/documents/hf_l-xiii_enc_10021880_arcanum_en.html ''Arcanum''] Barua ya [[Papa Leo XIII]] kuhusu Ndoa ya Kikristo
* {{CathEncy|wstitle=Sacrament of Marriage}}
 
[[Jamii:Liturujia]]