Masasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wilaya ya Masasi''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Mtwara]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 442,573 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/masasi.htm].
kaskazini,
 
Masasi ni wilaya kubwa ya Mtwara inapakana na [[Mkoa wa Lindi]] upande wa kaskazini, [[Mkoa wa Ruvuma]] upande wa magharibi na nchi ya [[Msumbiji]] upande wa kusini. Upande wa mashariki kuna mpaka na wilaya ya Newala.
 
 
{{mbegu}}