Ernest Orlando Lawrence : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Ernest Orlando Lawrence''' ([[8 Agosti]], [[1901]] – [[27 Agosti]], [[1958]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini. Mwaka wa [[1939]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''. Mwaka wa [[1941]] alifaulu kutenganisha [[isotopu]] za elementi ya [[urani]].
 
[[Category:Wanasayansi|L]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fizikia|L]]
 
{{mbegu}}