Hans Krebs : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d viungo vya tarehe na miaka
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Hans Adolf Krebs''' ([[25 Agosti]], [[1900]] – [[22 Novemba]], [[1981]]) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Mwaka wa 1933, kwa vile wazazi wake walikuwa [[Wayahudi]] alilazimishwa kuhamia [[Uingereza]]. Hasa alichunguza athari za kikemia ndani ya [[chembe hai]]. Mwaka wa [[1953]], pamoja na [[Fritz Lipmann]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''. Mwaka wa [[1958]] alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.
 
[[Category:Wanasayansi|K]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Tiba|K]]
 
{{mbegu}}