Tofauti kati ya marekesbisho "Hans Buchner"

18 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
d
no edit summary
 
d
'''Hans Buchner''' ([[16 Desemba]], [[1850]] – [[5 Aprili]], [[1902]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza [[virusi]] visababishavyo magonjwa na [[damu]] ya binadamu. Alikuwa kaka ya [[Eduard Buchner]] aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa 1907.
 
Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, [[Hans Buchner (Mtungaji muziki)|Hans Buchner]].
62,394

edits