Shilingi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Shilingi''' ni [[pesa]] inayotumika kwa malipo halali katika nchi za [[Tanzania]], [[Kenya]], [[Uganda]], na
==Historia ya Shilingi==
Mstari 7:
Uingereza ilitoa "East African Shilling" kuanzia 1921 kama pesa ya pamoja kwa ajili ya koloni zake za Kenya, Uganda na Tanganyika. Zanzibar ilijiunga na shilingi hii mwaka 1935 ilipoacha rupia zake. Baada ya uhuru nchi hizi zilivunja umoja huu zikaanzisha pesa zao za pekee. Zote zinaitwa shilingi lakini thamani ilianza kuwa tofauti haraka.
Kuna majadiliano ya kurudisha
{{mbegu}}
|