62,394
edits
d |
|||
'''Owen Chamberlain''' ([[10 Julai]], [[1920]] – [[28 Februari]], [[2006]]) ni mwanafizikia kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alifanya utafiti wa [[fizikia ya kiini]] na kugundua vipande vingi vya [[atomu]]. Mwaka wa [[1959]], pamoja na [[Emilio Segre]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
[[Category:Wanasayansi|C]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fizikia|C]]
{{mbegu}}
|
edits