Content deleted Content added
Mstari 131:
 
Ndugu Riccardo. Hongera kwa kazi njema! Miezi miwili iliyopita, ndugu wetu Kipala aliuliza kuhusu hatimiliki ya makala ya [[Historia ya Wokovu]]. Nadhani ni wewe uliyeandika makala hiyo kwa sehemu kubwa kabisa. Ikiwa umenakilisha kutoka kitabu fulani na kuvunja hatimiliki, naomba urekebishe na kufupisha makala. Hata hivyo imekuwa ndefu mno kwa ajili ya kamusi elezo. Tukazane kusaidiana na kazi njema. Umesalimiwa na '''[[User:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[User talk:Baba Tabita|majadiliano]])''' 16:22, 23 Januari 2009 (UTC)
 
Ndugu, usiwe na wasiwasi: mwandishi wa makala hiyo ni mimi mwenyewe tu. Ni kweli kwamba ni ndefu, lakini historia ya binadamu ni ndefu zaidi... ni vigumu kusimulia miaka elfu kwa nusu saa! --[[Maalum:Michango/196.45.46.171|196.45.46.171]] 06:41, 25 Januari 2009 (UTC)