62,394
edits
dNo edit summary |
dNo edit summary |
||
'''Wilhelm Wien''' ([[13 Januari]], [[1864]] – [[30 Agosti]], [[1928]]) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza mambo ya [[mnururisho]]. Mwaka wa [[1911]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
[[Category:Wanasayansi|W]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fizikia|W]]
{{mbegu}}
|
edits