Bara Arabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Bara Arabu: Eneo lake - Nchi zake - Miji Mikuu yake - Hali ya hewa - Idadi ya Wakaazi - Dini - Lugha - Mali Asili
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Bara Arabu''' ni ile sehemu ya [[ardhi]] iliyoko baina ya Bara la [[Afrika]] na Bara la [[Asia]] ambayo sehemu kubwa yake imezungukwa na [[bahari]], upande mmoja wa Magharibi na Bahari Nyekundu na upande mwengine wa Kusini na Bahari ya Waarabu na mwengine wa Mashariki na Ghuba ya Waajemi-Waarabu. Sehemu za Kaskazini mwa Bara Arabu imepakana na nchi za mamlaka ya Jordani na jamhuri ya Iraqi.
'''Bara Arabu'''
 
Bara Arabu ni ile sehemu ya ardhi iliyoko baina ya Bara la Afrika na Bara la Asia ambayo sehemu kubwa yake imezungukwa na bahari, upande mmoja wa Magharibi na Bahari Nyekundu na upande mwengine wa Kusini na Bahari ya Waarabu na mwengine wa Mashariki na Ghuba ya Waajemi-Waarabu. Sehemu za Kaskazini mwa Bara Arabu imepakana na nchi za mamlaka ya Jordani na jamhuri ya Iraqi.
 
Kwa kuwa hakuna mvua za kuendelea, hakuna katika bara hili mito ya kudumu ijapokuwa kwenye sehemu mbali mbali kunapatikana chemchemu na vijito vya maji ambavyo huzidi wakati wa msimu wa mvua katika majira ya baridi. Bara Arabu ina milima upande wa Magharibi na Kusini mwake, lakini kila ukiteremkia Mashariki unakutana na ardhi tambarare mpaka kufikia kwenye Ghuba ya Waajemi-Waarabu.
Line 14 ⟶ 12:
Nchi zilizokuweko kwenye bara hili ni Bahraini, Kuwaiti, Omani, Qatari, Saudia, UAE, na Yemeni. Sita za mwanzo zikiwemo kwenye Baraza la Ushirikiano wa Nchi za Ghuba, zina mfumo wa kifalme katika utawala wake, na ya mwisho ni Jamhuri ya Yemen. Nchi hizi zina tarehe ndefu inayorudi nyuma kabla ya kuja Uislamu, na ustaarabu mbali mbali ulipatikana katika maeneo mbali mbali ya nchi hizi. Katika ustaarabu mashuhuri wa nchi hizi ni ule ustaarabu wa nchi ya Yemeni, ambao ulikuwa ukijulikana kuwa ni ustaarabu wa Sabaa zama za Balqis, malkia wa Yemen wa wakati huo.
 
'''===Miji Mikuu'''===
 
Kuna miji mingi katika Bara Arabu, lakini miji mikuu ya madola mbali mbali ya Bara Arabu ni Riyadh, mji mkuu wa Saudia, ijapokuwa kuna miji mashuhuri na mitukufu katika Saudia kama Makka na Madina. Mji mkuu wa Yemeni ni Sanaa, lakini mengine muhimu ni Aden, Hudeidah, Taez, Mukalla, Shibam na Seyun. Ama mji mkuu wa Oman ni Maskati, lakini kuna miji mengine mashuhuri yenye tarehe kubwa kama Salala, Sohari, Nizwa na Rustaq. Mji mkuu wa Imarati ni Abudhabi, na mengine mashuhuri ni Dubai, Sharjah, Ajman, Ras-al-Khayma, Ummul-Quwain na Fujairah. Kuwait, mji mkuu wake ni Kuwait, na Qatar mji mkuu wake ni Doha, na Bahrain ni Manama.
 
'''===Hali ya hewa:'''===
 
Nusu Kisiwa cha Bara Arabu kina jangwa kubwa la Rub al Khali Kusini mwake na An-Nafud Kaskazini mwake. Ni sehemu ya ulimwengu ambayo haina mvua nyingi na ukame ndio tabia ya nchi zilizokuwemo katika bara hili, na kwa hivyo, hali ya hewa huwa ni joto sana katika majira ya joto kufikia hadi daraja 55 C. katika baadhi ya sehemu zake, na kufikia daraja hadi 0 C katika baadhi ya sehemu nyengine katika majira ya baridi.
 
'''===Idadi ya Wakaazi:'''===
 
Idadi ya wakaazi wa nchi hizi saba kwa ujumla inafikia 50,000,000, wakiwemo asilimia 85 wenyeji na asilimia 15 wageni. Wenyeji au wananchi wa nchi hizi aghlabu yake ni Waarabu, lakini pia kuna Wairani, Mabulushi, Wahindi, Mabangladeshi, Wazungu, Mapakistani, Waafrika na kabila nyenginezo.
 
'''===Dini:'''===
[[Nchi]] zote saba (7) zilizokuwepo kwenye Bara Arabu ni za [[uislamu|kiislamu]], na aghlabu ya Waislamu wake ni wa madhehebu ya Sunni, lakini pia kuna madhehebu ya Shia na Ibadhi kwenye baadhi ya nchi hizi. Asilimia 99% ya wananchi wa nchi hizi ni Waislamu, lakini vile vile kuna wafuasi wa dini nyenginezo katika wakaazi wake, kama Mayahudi, Mabaniani, Wakristo na kadhalika.
 
Nchi zote saba (7) zilizokuwepo kwenye Bara Arabu ni za kiislamu, na aghlabu ya Waislamu wake ni wa madhehebu ya Sunni, lakini pia kuna madhehebu ya Shia na Ibadhi kwenye baadhi ya nchi hizi. Asilimia 99% ya wananchi wa nchi hizi ni Waislamu, lakini vile vile kuna wafuasi wa dini nyenginezo katika wakaazi wake, kama Mayahudi, Mabaniani, Wakristo na kadhalika.
 
'''Lugha:'''
 
Kiarabu ndio lugha inayotumika kwenye nchi hizi saba, na ndio lugha rasmi ya nchi hizi, lakini Kiingereza, karibuni, kimeanza kutumika sana kwa sababu ya kuwepo dharura ya kutumia lugha hii katika biashara, mawasiliano baina ya wananchi na wageni, na katika uhusiano wa kimataifa baina ya nchi mbali mbali ulimwenguni.
 
'''Mali Asili:'''
 
Bara Arabu ina aina nyingi ya madini na nishati. Kuna dhahabu, fedha, chumvi, na kadhalika. Karibuni, kumegunduliwa akiba kubwa ya mafuta ya petroli na gesi, jambo lililofanya hizi nchi kutegemea zaidi mali asili hizi kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi zao na maendeleo mengine ya nchi. Hapo zamani watu wa nchi hizi wakitegemea sana uvuvi, ufugaji wa wanyama kama mbuzi, kondoo, ng’ombe, ngamia na farasi. Aidha, walikuwa wakilima na kupanda mitende, matunda, ngano na shayiri, na kwa hivyo, bidhaa zao walizokuwa wakisafirisha nje zilikuwa zaidi ni tende, buni, samaki na papa wa kavu, na ngozi za wanyama.
 
'''===Lugha:'''===
Salim Elhaj
[[Kiarabu]] ndio [[lugha]] inayotumika kwenye nchi hizi saba, na ndio lugha rasmi ya nchi hizi, lakini Kiingereza, karibuni, kimeanza kutumika sana kwa sababu ya kuwepo dharura ya kutumia lugha hii katika biashara, mawasiliano baina ya wananchi na wageni, na katika uhusiano wa kimataifa baina ya nchi mbali mbali ulimwenguni.
 
'''===Mali Asili:'''===
----
Bara Arabu ina aina nyingi ya [[madini]] na nishati. Kuna [[dhahabu]], [[fedha]], [[chumvi]], na kadhalika. Karibuni, kumegunduliwa akiba kubwa ya mafuta ya petroli na gesi, jambo lililofanya hizi nchi kutegemea zaidi mali asili hizi kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi zao na maendeleo mengine ya nchi. Hapo zamani watu wa nchi hizi wakitegemea sana uvuvi, ufugaji wa wanyama kama mbuzi, kondoo, ng’ombe, ngamia na farasi. Aidha, walikuwa wakilima na kupanda mitende, matunda, ngano na shayiri, na kwa hivyo, bidhaa zao walizokuwa wakisafirisha nje zilikuwa zaidi ni tende, buni, samaki na papa wa kavu, na ngozi za wanyama.
Marejeo:
http://www.arab.de/arabinfo/parabia.htm
http://www.infoplease.com/ce6/world/A0804469.html