Tofauti kati ya marekesbisho "Wapangwa"

No change in size ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: eo:Pangvaoj)
'''Wapangwa''' ni kabila kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na pwani ya mashariki ya [[Ziwa Nyasa]], [[wilaya ya [[Ludewa]], [[Mkoa wa Iringa]], kusini ya nchi ya [[Tanzania]]. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000.
 
Chakula chao ni ugali wa mahindi, ulezi na mtama kidogo. Kitoweo cha vyakula hivyo ni maharage, samaki, nyama na jamii ya mboga mboga. Kinywaji chao ni pombe (ukhimbi) yaani kangala, komoni, [[ulanzi]] ambao hugemwa kutoka katika mmea uitwao mlanzi.