Santilya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya Wilaya ya Mbeya Vijijini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 1...
 
No edit summary
Mstari 1:
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 15,271 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
 
Santilya ni kitovu cha Umalila na wenyeji asilia ni hasa [[Wamalila]]. Katika mazingira ya Santilya dhehebu la [[Jeshi la Wokovu]] lina wafuasi wengi kiasi.
 
==Marejeo==
{{marejeo}}