Ifakara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ifakara.TAZARA.station.JPG|thumb|250px|Kituo cha TAZARA Ifakara]]
[[Picha:Ifakara.town.2005 kwa macho ya ndege.jpg|thumb|250px|BarabaraIfakara mjinikwa Ifakaramacho ya ndege]]
 
'''Ifakara''' ni makao makuu ya [[wilaya ya Kilombero]] ni kitovu cha eneo lenye mashamba makubwa ya [[miwa]]. Kuna kituo muhimu cha [[TAZARA]]. Kata ya Ifakara ilikuwa na wakazi wapatao 45,684 wakati wa sensa ya 2002.
 
Mji uko katika bonde la [[mto Kilombero]] takriban kilomita 420 kusini-magharibi ya [[Dar es Salaam]]. Taasisi muhimu mjini ni Taasisi ya Afya Ifakara (Ifakara Health Institute) inayofanya uchunguzi wa kisayansi wa magonjwa kama [[malaria]] na [[ukimwi]]. [[Kanisa katoliki]] inaendesha [[hospitali]] ya St Francis inayotarajiwa kuwa hospitali ya wilaya pamoja na chuo cha wauguzi.
 
 
<gallery>
Image:Ifakara kanisa katoliki St. Andrew.jpg|Kanisa katoliki la Mt. Andreas Ifakara
Image:Ifakara 2008 065.jpg|Barabara kuu mjini Ifakara 2008
image:Ifakara mjini 2008.jpg|Mjini Ifakara (2008)
</gallery>
 
==Marejeo ya Nje==