Mkoa wa Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Dar es Salaam''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Eneo la mkoa ni [[Jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Imepakana na [[Mkoa wa Pwani]] pande zote barani na [[Bahari ya Hindi]] upande wa mashariki. Jiji la Dar es Salaam ndilo kitovu cha shughuli za biashara na utawala nchini Tanzania.
 
Kuna wilaya tatu za [[Wilaya ya Kinondoni|Kinondoni]] (wakazi 1,088,867), [[Wilaya ya Ilala|Ilala]] (wakazi 637,573) na [[Wilaya ya Temeke|Temeke]] (wakazi 771,500) ambazo kila moja inaangaliwa kama mji. Takwimu hizi ni za mwaka 2002, kwa ujumla idadi ya wakazi hukadiriwa kuwa imefika mnamo milioni 3.
 
Eneo la mkoa ni 1,800 km² pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivi. Eneo la nchi kavu pekee ni 1,393 km².
Mstari 9:
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.tanzania.go.tz/census/census/dsm.htm Sensa ya 2002]
*{{en}}[http://jp1.estis.net/includes/file.asp?site=chip&file=12C88AF9-65B0-4C84-B3AD-E2642199873F DAR ES SALAAM CITY PROFILE]
*{{en}}[http://www.iss.co.za/PUBS/Other/DaresSalaam/Chap1.pdf Usalama katika Daressalaam]
 
{{Mikoa ya Tanzania}}
 
[[Category:Mikoa ya Tanzania|D]]
 
[[en:Dar es Salaam Region]]