Simanjiro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Simanjiro.GIF|thumb|right|175px|Eneo la Simanjiro katika mkoa wa Manyara]]
'''Wilaya ya Simajiro''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Manyara]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro ilihesabiwa kuwa 141,676 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/simanjiro.htm].
 
'''Wilaya ya Simajiro''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Manyara]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro ilihesabiwa kuwa 141,676 <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/simanjiro.htm]</ref>.
 
Simanjiro imepakana na mkoa wa Arusha upande wa kaskazini, mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini-mashariki, mkoa wa Tanga upande wa kusini-mashariki, [[wilaya ya Kiteto]] upande wa kusini, [[mkoa wa Dodoma]] upande wa kusini-magharibi na [[wilaya ya Babati]] kwenye magharibi.
 
Makao makuu ya wilaya yapo [[Orkesumet]].
 
Wenyeji ni hasa Wamasai na ufugaji ni kazi muhimu zaidi ya wenyeji. Katika [[Mererani]] watu huchimba [[vito]] vya [[tanzanaiti]].
 
==Marejeo ya Nje==
*</references>
*[http://www.vetaid.org/projects-tanzania-simanjiro.asp Miradi ya ufugaji Simanjiro]
 
 
 
{{tanzania-geo-stub}}
 
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Simanjiro}}
 
{{mbegu}}
[[Category:Wilaya za Mkoa wa Manyara|S]]