Vita ya miaka 100 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Hundred Years' War
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Hundred years war.gif|right|thumb|300px|Ramani inaonyesha maeneo ya vita]]
 
'''Vita ya miaka 100''' ilikuwa kipindi cha mapigano kati ya [[Ufaransa]] na [[Uingereza]] kilichodumu miaka 116 kuanzia mwaka [[1337]] hadi [[1453]]. Vita ilkianza kwa sababu mfalme [[Charles IV wa Ufaransa]] aliaga dunia [[1328]] bila kumwacha mrithi na mfalme [[Edward III wa Uingereza]] aliamnini ya kwamba yeye mwenyewe alikuwa na haki ya kurithi cheo hiki kwa sababu mamake alitoka katika nasaba ya kifalme ya Kifaransa.
 
Vita ilianza kwa sababu mfalme [[Charles IV wa Ufaransa]] aliaga dunia [[1328]] bila ya kumwacha mrithi, na mfalme [[Edward III wa Uingereza]] aliamini kwamba yeye mwenyewe ana haki ya kurithi cheo hiki kwa kuwa mama yake alitoka katika nasaba ya kifalme ya Kifaransa.
Wafaransa wangi walikataa na hii ilikuwa sababu ya vita.
 
Wafaransa wangiwengi walikataa na hii ilikuwa sababu ya vita.
Mwishowe Uingereza ilipaswa kujiondoa katika Ufaransa.
 
Mwishowe Waingereza walipaswa kujiondoa katika Ufaransa mzima, hata katika maeneo makubwa waliyowahi kuyatawala chini ya mamlaka ya jina tu ya mfalme wa Ufaransa.
 
== Viungo vya Nje ==