Rufiji (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: it:Rufiji
No edit summary
Mstari 1:
'''Rufiji''' ni mto mkubwa wa [[Tanzania]]. Chanzo iko Tanzania ya kusini-magharibi katika maungano ya tawimito ya [[Kilombero]] na [[Luwegu]]. Unafikia [[Bahari Hindi]] kwa njia ya [[delta]] yake takriban 200 km kusini ya [[Daresalaam]] karibu na [[kisiwa cha Mafia]]. Urefu wa Rufiji ni takriban 600 km.
 
Tawimto mkubwa katika beseni yake ni [[Ruaha KuuMkuu]].
 
Mwaka 2005 daraja lilikamilika linalorahisisha usafiri kati ya [[Mkoa wa Dar es Salaam|Daresalaam]] na mikoa ya [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] na [[Mkoa wa Mtwara|Mtwara]].