Mkoa wa Tabora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sv:Tabora (region)
No edit summary
Mstari 9:
 
Jumla ya wakazi ilikuwa watu 1,717,908 (mw. 2002).
Kuna wilaya 6 (idadi ya wakazi kwa mabano): [[Tabora Mjini]] (188,808), [[wilaya ya Nzega|Nzega]] (417,097), [[wilaya ya Igunga|Igunga]] (325,547), [[wilaya ya Uyui|Uyui]] (282,272), [[wilaya ya Urambo|Urambo]] (370,796), [[wilaya ya Sikonge|Sikonge]] (133,388).
 
Tabora haina barabara za lami. Kuna njia ya reli ya kati kutoka [[Daressalaam]] kwenda [[Kigoma]] kwa upande moja na kwenda [[Mwanza]] kwa upande mwingine.