Vita kati ya Irak na Uajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Vita kati ya Irak na Uajemi''' ilitokea kuanzia Septemba 1980 hadi Agosti 1988. Ilipiganiwa kati ya majeshi ya nchi jirani za Irak na Uajemi (Iran) ikisababisha vifo vya watu mi...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Irak-Iran-War furthest ground gains.jpg|thumb||Eneo la vita<br />Mstari mwekundu:Mwisho wa kusogea mbele kwa muda upande wa Iraki<br />Mstari njano:Mwisho wa kusogea mbele kwa muda upande wa Uajemi]]
'''Vita kati ya Irak na Uajemi''' ilitokea kuanzia Septemba 1980 hadi Agosti 1988. Ilipiganiwa kati ya majeshi ya nchi jirani za [[Irak]] na [[Uajemi]] (Iran) ikisababisha vifo vya watu milioni moja na kuishi bila mshindi. Iliitwa pia "Vita ya ghuba" kutokana na [[ghuba ya Uajemi]] ambako nchi zote mbili zinapakana na baadaye illitwa pia "vita ya kwanza ya ghuba" kutokana na vita za Marekani dhidi ya Irak zilizofuata baadaye.