Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Katika mambo ya utamaduni na historia inapaswa kusoma makala yake kiangilifu. Mara nyingi itikadi ya ubaguzi wa rangi iko wazi kabisa pia udharau kwa wenyeji katika koloni hizi. Lakini hata hivyo mwanahistoria ataitumia kama kumbukumbu muhimu.
 
Kamusi ilikuwa tayari [[1914]] lakini haikuchapishwa kwa sababu ya vita. Kuchapishwa kulitokea baada ya vita tu. Mhariri alikuwa [[Heinrich Schnee]] aliyewahi kuwa gavana ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].
 
== Marejeo ==