Tofauti kati ya marekesbisho "Bukoba (mji)"

384 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: da:Bukoba)
No edit summary
'''Bukoba''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo la mji ni wilaya ya Bukoba mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 81,221 [http://www.tanzania.go.tz/census/districts/bukobaurban.htm].
 
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni na kuifanya makao makuu ya mkoa.
{{mbegu}}
 
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{tanzania-geo-stub}}
 
{{Kata za Wilaya ya Bukoba Mjini}}
 
[[Category:Mkoa wa Kagera|B]]
[[Category:Wilaya za Mkoa wa Kagera|B]]
[[Category:Miji ya Tanzania]]
 
 
[[da:Bukoba]]