Tofauti kati ya marekesbisho "Kaizari"

62 bytes added ,  miaka 15 iliyopita
nyongeza
(nyongeza)
(nyongeza)
 
 
'''Kaisari''' ni cheo cha mfalme mkuu. Neno la Kiswahili limetokana na lugha ya [[Kijerumani]].
 
==Asili ya Kiroma==
Asili yake ni [[Julius Caesar]] aliyekuwa kiongozi wa [[Dola la Roma]] hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka [[44 KK]]. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina lilikuwa cheo.
 
Cheo cha Kaisari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi [[1453]].
 
==Ulaya==
Katika [[Ulaya]] yenyewe mfalme wa [[Wafranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaisari. Baadaye wafalme [[Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaisari.
 
Lugha za [[Kiingerezea]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha Macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari)kilichokuwa "Emperor" ([[Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]).
 
==Nje ya Ulaya==
Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], mtwala wa [[Japani]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] wanaweza kutajwa kwa cheo cha "Kaisari". Malkia [[Malkia Viktoria (Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaisari kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].
 
Malkia [[Malkia Viktoria (Uingereza)|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaisari kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu [[1877]].
 
Rais Jean-Bedel [[Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaisari wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa Napoleon I aliyejiwekea taji la Kaisari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa 1979 na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.