Tofauti kati ya marekesbisho "Majengo"

58 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
'''Majengo''' ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya [[Afrika ya Mashariki]].
 
Mifano ni [[Majengo (Kigoma)|Kigoma]], [[Nairobi]], [[Mtwara]], [[Mbeya]], [[Majengo (Songea)|Songea]], [[Tanga]] na [[Muheza]] ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata. Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni ambako sehemu ya "Uzunguni" ilihifadhiwa kwa Waingereza na Wazungu wengine na Wahindi walipewa nafasi ya maduka katika sehemu zilizoitwa mara nyingi "Uhindini".