Tana (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sv:Tanafloden (Kenya)
No edit summary
Mstari 4:
 
'''Tana''' ni [[mto]] mrefu wa [[Kenya]] ukiwa na urefu wa takriban 650 km. Chanzo chake ni milima ya [[Aberdare]] magharibi ya [[Nyeri]]. Mwanzoni inelekea mashariki halafu ina pinde kuzunguka [[Mlima Kenya]] upande wa kusini, kuelekea tena kaskazini na kuwa na pinde tena kuelekea sasa [[Bahari Hindi]] kwa mwendo wa kusini-mashariki.
 
Baadhi ya mito inayoingia mto wa Tana ni [[Thika (mto)|mto wa Thika]].
 
Inapita miji ya [[Garissa]], [[Hola]] na [[Garsen]] kabla ya kufika Bahari Hindi kwenye [[Ghuba ya Ungwana]].