Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Picture gallery
dNo edit summary
Mstari 17:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] ''Botaurus'',kadhaa ''Ixobrychus''(angalia nasanduku ''Tigriornis''ya ndaniuainishaji) yaza [[familia]] [[Ardeidae]] wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, kratesha na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.
 
==Spishi za Afrika==
* ''Botaurus stellaris'', [[Vumatiti Mkubwa]] ([[w:Great Bittern|Great Bittern]])
* ''Ixobrychus minutus'', [[Vumatiti Mdogo]] ([[w:Little Bittern|Little Bittern]])
* ''Ixobrychus sturmii'', [[Vumatiti Kibete]] (Dwarf Bittern)
* ''Tigriornis leucolopha'', [[Vumatiti-msitu]] (White-crested Tiger Bittern)