Kisiju : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kisiju''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mkuranga]] katika [[Mkoa wa Pwani]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 13,832 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mkuranga.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
 
==Biashara na mawasiliano==
Kitovu chake ni mji mdogo ambao ni ni bandari kwenye pwani la [[Bahari Hindi]] na kisiwa cha [[Kwale (Kisiju)|Kwale]] inahesabiwa ndani ya eneo lake. Kisiju iko takriban kilomita 100 kusini ya Dar es Salaam upande wa kaskazini wa [[delta]] ya [[mto Rufiji]].
 
Eneo la mji mwenyewe lina takriban [[hektari]] 8. Ni bandari kubwa kati ya [[Dar es Salaam]] na [[Kilwa]]. Biashara yote kutoka na kwenda visiwa vya Kwale na Koma inapita bandari yake pamoja na sehemu za bidhaa zinezopelekwa [[Mafia]]. Kuna huduma ya mabasi kwenda Dar es Salaam.
 
==Historia==
Eneo la Kisiju pamoja na visiwa limekaliwa tangu zamani sana. Wataalamu wa akiolojia waligundua mabaki ya makazi ya kibinadamu tangu karne ya 1 [[BK]]
<ref>[http://cohesion.rice.edu/CentersAndInst/SAFA/emplibrary/43_ch09.pdf Archaeological Work at Kisiju,Tanzania, 1994 - taarifa ya F. Chami and E. T. Kessy]</ref>
 
Mabaki ya bidhaa yamepatikana tangu karne ya 6 na hii inadokeza kuwa eneo la Kisiju lilikuwa kwenye vituo vya kwanza vya biashara ya pwani iliyokuwa chanzo cha utamaduni wa [[Uswahilini]]
 
==Marejeo==