Yuda Tadei : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eo:Judaso Tadeo
No edit summary
Mstari 4:
 
Habari zake za hakika zinategemea [[Agano Jipya]] ambamo anatajwa katika orodha ya [[Thenashara]] ambao waliteuliwa na [[Yesu Kristo]] kama msingi wa taifa jipya la [[Mungu]] wakatumwa naye kuhubiri na kuponya.
 
{{Mitume 12 wa Yesu}}
 
[[Injili ya Yohane]] tu inaripoti neno lake moja, katika simulizi la [[karamu ya mwisho]], alipomuuliza Yesu imekuwaje atajifunua kwao lakini si kwa ulimwengu (14:22). Yesu alimjibu kwamba yeyote anayempenda atashika neno lake, na [[Baba]] atampenda na kufanya maskani yake kwake pamoja na [[Mwana]].
 
Anafikiriwa na wengi kuwa mwandishi wa [[Waraka wa Yuda]], lakini hakuna hakika kwa sababu jina hilo la babu wa [[Wayahudi]] wote lilikuwa la kawaida mno.
 
 
[[Category:Watu wa Biblia]]