Parokia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Parokia''' ni muundo mmojawapo wa zamani sana wa Kanisa, ambao umuhimu wake unatokana na kwamba ni sehemu ya jimbo (dayosisi) unapofanyika uchungaji wa kila siku. …'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:19, 9 Machi 2009

Parokia ni muundo mmojawapo wa zamani sana wa Kanisa, ambao umuhimu wake unatokana na kwamba ni sehemu ya jimbo (dayosisi) unapofanyika uchungaji wa kila siku.

Jina

Jina hilo lilianza kutumika katika karne III kutokana na neno la Kigiriki παρоικια (=ujirani) linalotumika katika tafsiri ya Biblia ya Septuaginta kwa maana ya kukaa ugenini.