Dayosisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Dayosisi''' (kwa Kilatini ''dioecesis'', kutokana na Kigiriki ''διοίκησις'', yaani "utawala") ilikuwa sehemu ya Dola la Roma; baadaye ikawa sehemu ya [[Ta…'
 
mwanzo wa makala ulikuwa vigumu kueleweka, nimepanusha kidogo
Mstari 1:
'''Dayosisi''' (kwa [[Kilatini]] ''dioecesis'', kutokana na [[Kigiriki]] ''διοίκησις'', yaani "utawala") ilikuwani sehemujina yakwa [[Dolaeneo lalililopo Roma]];chini baadayeya ikawausimamizi sehemu yawa [[Taifa la Munguaskofu]] inayotumika hata leo katika [[madhehebu]] kadhaambalimbali ya [[Ukristo]],kanisa hasala yalekikristo. yanayojali cheo cha [[Askofu]].
 
Kwa Kiswahili ni jina la kawaida katika kanisa ya Kiluteri na Anglikana. Kwa kawaida [[Kanisa Katoliki|Wakatoliki]] wanaoongea [[Kiswahili]] wanaiita [[Jimbojimbo]] lakini kwa lugha nyingine wanatumia neno hili pia kwa mfano "diocese" ([[Kiingereza]]), "diocesi" ([[Kiitalia]]) au "diocèse" ([[Kifaransa]]).
 
==Historia==
[[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] ulieleza kwamba: "Jimbo ni sehemu ya [[Taifa la Mungu]], iliyokabidhiwa kichungaji kwa Askofu, akisaidiwa na [[upadri|mapadri]] wake, hivi kwamba kwa kuambatana na Mchungaji wake, na kuungana ndani ya [[Roho Mtakatifu]] kwa njia ya [[Injili]] na ya [[Ekaristi]] takatifu, iunde [[Kanisa maalumu]], ambamo linakuwemo na kutenda [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]], lililo Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume" ([[Christus Dominus]])'' 11.
Mwanzoni "dayosisi" ilikuwa kitengo cha utawala wa serikali katika [[Dola la Roma]]; dayosisi moja ilijumlisha majimbo kadhaa. Baada ya uenezaji wa ukanisa la Kikristo katika Dola la Roma kanisa lilianza kutumia mipaka ya utawala wa serikali kwa ajili ya vitengo vyake na kwa njia hii muundo wa dayosisi ulikuwa pia muundo wa utawala ndani ya kanisa. Baada ya kuporomoka kwa Dola la Roma kanisa liliendelea na vitengo hivi.
 
==Kanisa Katoliki==
Katika Kanisa Katoliki dayosisi au jimbo chini ya askofu wake ni kitengo kamili cha kanisa. [[Mtaguso wa pili wa Vatikano]] ulieleza kwamba: "Jimbo ni sehemu ya [[Taifa la Mungu]], iliyokabidhiwa kichungaji kwa Askofu, akisaidiwa na [[upadri|mapadri]] wake, hivi kwamba kwa kuambatana na Mchungaji wake, na kuungana ndani ya [[Roho Mtakatifu]] kwa njia ya [[Injili]] na ya [[Ekaristi]] takatifu, iunde [[Kanisa maalumu]], ambamo linakuwemo na kutenda [[Kanisa]] la [[Yesu Kristo]], lililo Moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume" ([[Christus Dominus]])'' 11.
 
==Viungo vya nje==